Bonga

Niaje raiya, nataka kuwacha kuChana jaba Na kukaa Base the whole day.. I want to get serious with life Na Niwache hii company ya friends Wa kushikisha Na Mafegi. Shida Ni it's soo hard kukaa clean for like weeks mbili tu.

Please advice me. Shukran.

  Published  21st Nov 2019 at 7:46 pm

Raiya badilisha company. Tafuta mbogi mpya. Change number. Hii maisha ni yako na pale base hakuna vile utamove forward.

  Published  24th Nov 2019 at 2:52 pm
 Option ingine inaeza kuwa kuhama bez...kusaka mtaa ingine...io itakumake uache mbogi. Alafu ujishughulishe na shuguli ingine
  Published  26th Nov 2019 at 2:32 pm

Try disconnecting with everyone and everything slowly by slowly.

Realise new things you can do with your time.

Get other favorite things to do whenever the urge of fegi knocks.

  Published  29th Dec 2019 at 9:54 am