Bonga

Mimi nimekua depressed since graduating in 2016, so dawa yangu Ni miraa Na Bangi. Bila hizo I feel Useless and hopeless. I feel like kila mtu ananidharau... I can't have a relationship and I'm always bitter.

  Published  1st Oct 2019 at 7:36 am

Me nimetry ku avoid drugs sana as a coping mechanism bt inakaa nikama tu al have to

  Published  1st Oct 2019 at 2:00 pm

Hapo tuko kimoja. Weed takes me to world where I don't have to worry about anything. Shida ni ati ukirudi form hizi mashida ziko tu. Saizi najaribu kupunguza nikitarajia mambo itakuwa poa. Naezasema ujaribu kuweka effort kiasi no matter how small.

  Published  4th Oct 2019 at 7:38 pm